Shambulio lilopangwa vyema yafanyika kambi kuu ya AMISOM iliyopo mji wa BuulaBarde.

Thursday June 26, 2014 - 15:34:15
Super Admin
Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen vimefanya opresheni kabambe kwenye kambi kuu ya Wanajeshi wavamizi wa AMISOM uliopo mji wa Buulabarde.





Habari kutoka mkoa wa Hiraan iliyo katikati mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa iliskika kishindo kikubwa cha mlipuko kwenye mji wa Buulabarde na baadae ukafuatiwa na Makabiliano makali.





Vyanzo muhimu ilisema kuwa watu waliojihami na silaha nzito waliingia ndani ya Hoteli ya Aamalow iliyo kituo kikuu cha Wanajeshi wa Djibuti kwenye mkoa wa Hiraan.



Fuatilia itakayojiri

Related Items

Update cookies preferences