Sheikh Sabaah Al Ahmed "Risasi zinazolia karibu yetu tunahofia ije ituchome".

Saturday June 28, 2014 - 23:36:19
Super Admin
Mwanamfalme Sheikh Sabah Al Ahmed wa Kuweit.
Mwanamfalme Sheikh Sabah Al Ahmed wa Kuweit.
Mataifa yote ya kiarabu yanayoshirikiana na Marekani yameonyesha khofu yao juu ya ushindi wa mfululizo wanayopata Dola ya Kislaam nchini Iraq.





Utawala kibaraka wa Kuweit imesema kuwa inahofia usalama wa ndani wa nchi yakekuathiriwa na Mujahidina wa Dola ya Kislaam.





Sheikh Sabah Al Ahmed Al Jabir Mwana Mfalme Kibaraka wa Kuweit ametoa hutuba na kurushwa mmoja kwa mmoja na televisheni ya nchi hiyo na kugusia masuala mbalimbali yakiwemo hali katika eneo zima la mashariki ya kati na Rushwa uliokithiri kwenye Utawala wake.





"Nchi yetu iko kwenye hali ngumu sana na tumezungunwa kila aina ya Hatari na Risasi zinzolia mbele yetu karibia Botu inaweza kutuzamisha sisi sote ikiwa tutashindwa kusuluhisha tofauti zetu",alisema Mfalme huyo Sabah.





Kuweit imetaja wazi ushindi unaoendelea kupata Dola ya Kislaam huenda ukayumbisha hali ya usalama katika nchi ya Kuweit "Risasi zinazolia Iraq yaweza kuhatarisha na kuunguza sisi huko",alimalizia kwenye mazungumzo yake Sabah.





Mmoja ya Kambi kubwa ya Wanajeshi wa Jeshi la Marekani iko nchini Kuweit na ni Nchi ambayo Utawala wake unategemea sana Usalama wa nchi za Magharibi na Amerika.

Related Items

Update cookies preferences