SomaliMeMo:inawatakia Waislaam wote heri ya mwezi mtukufu wa Ramadhaan.

Saturday June 28, 2014 - 23:45:24
Super Admin
Sehemu nyingi hapa Somalia mwandamo wa mwezi wa Ramadhaa umeshuhudiwa leo baada ya Swala ya Maghribi ukionekana kuwa ni mwanzo wa Ramadhaan jinsi ulivyokuwa mdogo mbalamwezi,maeneo yote yalio chini ya nidhamu ya Sheria za Kislaam kusini na katikati mwa Ardhi ya Somalia jana usiku ulitangaziwa kuwa siku ya Jumapili ungekuwa Ramadhaan mosi.



Mji wa Mugadishu leo usiku katika misikiti mikubwa umeanza kuswaliwa Swala ya Sunna ya Tarawehe.





SomaliMeMo yawatakia Waislaam wote heri ya mwezi Mtukufu wa Ramadhaan.




Uongozi wa Mtandao wa Kislaam wa SomaliMeMo unawatakia Waislaam wote popote pale walipo kuwa heri ya Mwezi mtukufu wa Ramadhaa ambao Allah amewajabisha kwa waja wake na kuwa fursa kubwa ya kusamehewa madhambi yao na kuwaokoa na Moto.




Tunamwomba Allah aweze kutuokoa na Moto na pia kukubali matendo yetu mema.





Na tunamwomba Allah kuweza kuwashinda Wavamizi kutoka mataifa mbalimbali na kuwapa Ushindi Waislaam wanaotetea Sheria zake Popote walipo.




SomaliMemo,Mugadishu

Related Items

Update cookies preferences