Saudi Arabia yapeleka maelfu ya wanajeshi kwenye mpaka wake na Iraq baada ya kukaribia Vikosi vya Mujahidina.

Friday July 04, 2014 - 00:24:48
8762
Super Admin
Maelfu ya Wanajeshi wa Utawala wa Aala Saudi wamepelekwa kwenye mpaka wa kizushi kati yake na Iraq.





Habari kutoka nchini Iraq zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Kishia wa Utawala wa Nuri Al Maliki waliokuwepo kwenye eneo la mpaka upande wa Saudi Arabia wamejiondokea eneo hilo na hatua hiyo imewatia kiwewe Utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia.





Taarifa rasmi iliyotolewa na Mfalme wa Saudi Arabia umetangazwa na televisheni ya Al Arabia na Wanajeshi wa Saudi Arabia wamepewa Amri ya kuhakikisha usalama katika eneo la Mapaka wa Saudi na Iraq.





Vyanzo muhimu iliyowanukuu shirika la habari la AFP limearifu kuwa Vikosi vya Dola ya Kislaam wamekaribia kwenye eneo la Mpaka na kuna hatari kubwa ya Harakati yake kuihamishia ndani ya nchi ya Saudi Arabia.




Mujahidina wa Dola ya Kislaam mwezi jana wameutwaa maeneo mengi ya Iraq,Mfalme Abdallah wa Saudia hivi karibuni alitangaza opresheni kabambe dhidi ya Mujahidina huko akimfukuza kazi Naibu waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia.




Maelfu ya Mujahidina wenye asili ya Ardhi ya Harameyn inayojulikana Saudi Arabia wanapigana bege kwa bega na Mujahidina wanaopigana katika Nchi ya Syria,Iraq na Afghanistaan huko wakiwa kwenye jama'ati mbali mbali za Kijihadi.

Related Items

Update cookies preferences