Al-Shabab watangaza kuudhibiti Ikulu ya Rais mjini Mugadishu.

Tuesday July 08, 2014 - 23:43:48
9601
Super Admin
Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wametangaza kuudhibiti Ikulu ya Rais wa Serikali ya FG inayojulikana Villa Somalia.



Msemaji wa Kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Abdul azizi Abuu Mus'ab ameliambia Shirika la habari la AFP kuwa vikosi vyake wameudhibiti kikamilifu majengo muhimu ya Ikulu ya Villa Somalia.




"Vikosi vya Mujahidina wameudhibiti Majengo muhimu ya Ikulu ya Villa Somalia iliyopo mjini Mugadishu na baado mapigano yanaendelea",alisema Sheikh Abuu Mus'ab.




Endelea kufuatilia Inshallah

Related Items

Update cookies preferences