VIDEO:Mayahudi wafanya mauaji ya kinyama mji wa Ghaza.

Wednesday July 09, 2014 - 22:48:46
9903
Super Admin
Ni siku ya pili mfululizo Wananchi wa Kislaam wa Falastine wanakutana na mashambulio ya kiadui kutoka Mayahudi wa Israel.




Habari kutoka katika Ardhi ya waislaam wa Falastina inayokaliwa kwa mabavu na Mayahudi zinaeleza kuwa Waislaam zaidi ya 32 wamekwisha pata Shahada kufutia mashambulio ya Israel kwenye mji wa Ghaza.




Ndege za Kijeshi ya Isarel za F16 zimeendelea kufanya mashambulio ya mabomu makali kwenye mitaa ya Waislaam walio na mikusanyiko zaidi.




Mamia ya Waislaam waliojeruhiwa na Mashambulio haya ya kinyama kwenye mji wa Ghaza wamepelekwa kwenye Vituo vya Afya.




Picha kadhaa zilizochukuliwa kutoka mji wa Ghaza zinaonyesha Uharibifu mkubwa uliofanyika mji huo,mashambulio hayo yamefanyika wakati amabpo waislaam walikuwa wakijiandaa kufuturu.




Waziri mkuu wa Utawala Haramu wa Israel ametangaza kuwaita Wanajeshi 40,000 waliokuwa wa akiba kwenda kushiriki vita dhidi ya waislaam wa Ghaza.


TIZAMA VIDEO HAPA CHINI



Related Items

Update cookies preferences