Afisa mwenye cheo cha juu katika Serikali ya FG auawa mjini Mugadishu na Al-Shabab wakiri kuhusika.

Tuesday July 15, 2014 - 00:35:20
7149
Super Admin
Vikosi Maalum vya Jeshi la Haraka Al-Shabab Al Mujahideen limefanya mauaji dhidi ya Maofisa wa Serikali ya FG katikati mwa mji wa Mugadishu.





Shambulio iliyofanyika kwenye Daraja la Pili la Wilayani Hamar Jajab ililengwa Gari mmoja Ndogo ambapo kwenye Gari hilo walikuwemo Maofisa wakuu wa Serikali Shirikisho la Somalia "FG" iliyoundwa na Maadui wa Kigeni waliovamia Ardhi ya Somalia.





Duru za kuaminika zilieleza kuwa kwenye shambulio hilo aliuawa naibu mkuu wa kitengo cha kupambana na kile kinachoitwa Ugaidi nchini Somalia ambapo alitajwa kwa jina la Ibrahim Ahmed Farah.





Walioshudia tukio hilo wamesema kuwa maofisa wengine waliokuwa na vyeo vikubwa kwenye Serikali ya FG nao walijeruhiwa vibaya kutokana na shambulio hilo na kuomba msaada kwa wakaazi huko wakijifanya kuwa ni waandishi wa Habari.




Vyombo vya habari mjini Mugadishu walitangaza kuwa waliouawa walikuwa ni waandishi wa habari lakini baadae walisahisha na kutangaza kuwa waliouawa walikuwa ni Maofisa wakuu wa kupambana na Ugaidi wa Serikali ya FG.





Harakat Al-Shabab Al Mujahideen bila kupoteza muda walikiri kuhusika opresheni hiyo iliyowaua Maofisa hao wa Kupambana na Uislaam katika Serikali ya FG,Afisa mmoja wa Mujahidina wa Al-Shabab aliwaambia vyombo vya habari mjini Mugaidishu kuwa Kikosi chao cha kuwawinda Maofisa wakuu wa kupambana na Ugaidi ndio waliotekeleza opresheni hiyo iliyowaangamiza Maofisa wa Serikali ya FG na kuahidi kuwa wataendelea na opresheni zao za kuwatokomeza.





"Kikosi cha Mujahidina wa Al-Shabab wamemwua aliyejiita naibu mkuu wa kupambana na Ugaidi katika Serikali ya Murtadiina yeye na waliokuwa wamefuatana walikuwa ni Maadui wa Uislaam",alisema Afisa huyo wa Mujahidina wa Al-Shabab.





Ibrahim Ahmed Faarah na Maofisa wenzake waliouawa walikuwa wakifanyakazi kisiri mjini Mugadishu na watu wa kawaida walitatizika na kuiwia vigumu kuwafahamu maofisa hao walioshambuliwa ambapo walikuwa wakijificha kwajili ya usalama wao kwenye Magari za Raia wa kawaida lakini kwa hakika Al-Shabab wanaonekana kuwajua zaidi Maadui wao na kuzifelisha vitimbi vyao.





Ni Shambulio iliyokuwa na hasara kubwa dhidi ya Maofisa wa kupambana na Uislaam wa Serikali ya FG tangu kuteuliwa Khalif Ereg kuwa Waziri wa Usalama na Mkuu mpya wa Usalama wa Taifa katika Serikali kibaraka ya FG.





Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items

Update cookies preferences