![](https://somalimemo24.info/uploads/article/photo/thumbs/IMG_0012D5-419795-E769D8-DABDEB-130414-C38FCF.jpg)
Askari wa Kiyahudi "Mapigano ya siku ya Jumapili ilikuwa kama Jahanam kwetu"
Askari mmoja aliyenusurika kuawa katika mapigano makali yaliofanyika siku ya jumapili kwenye mtaa wa Al Shuja'iyah mjini Ghaza amesimulia mkasa aliyoyashuhudia kwa macho yake.