Vikosi vya ISIS waudhibiti mji wa Tala'far ambapo wakaazi wake wengi ni Mashia.

Tuesday June 17, 2014 - 16:56:30
9004
Super Admin
Mapigano yaliochukua masaa kadhaa hatimae Vikosi vya Mujahidina wa ISIS wameudhibiti mji muhimu wa Tala'far iliyo kaskazini magharibi mwa Iraq.
Habari kutoka nchini Iraq zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina wa ISIS wameuchukua Maghala za kuhifadhia Silaha,Magari za Kivita pamoja na Mabenki zilizokuwa zikimilikiwa na Utawala wa Kishia wa Nuri Al Maliki.





Televisheni ya Al Jazeera imeripoti kuwa Mamia ya Wapiganaji wa Kislaam wamechimba mahandaki ya kujihami kwenye maeneo ya vituo vya Polisi,Viwanja vya Ndege na maeneo yote ya Kijeshi.





Maelfu ya Wanajeshi wa Kishia wa Nuri Al Maliki wametoroka kutoka mji wa Tala'far,baada ya mapigano kushika kasi,mashuhuda wanasema maelfu ya wakaazi wa Kishia wamejifungia majumbani mwao wakihofia kuuliwa na Mujahidina.




Mji wa Tala'afar wakaazi wake wengi ni Mashia Maturkaamani ambapo mwaka jana waliwekwa kwenye mji huo kwa nguvu huko wakaazi wake Asili ambao walikuwa ni Waislaam wa Kisunii wakifurushwa kwa nguvu na kutolewa majumba yao na Utawala wa Kishia wa Nuri Al Maliki.





Mji wa Tala'far ni mji wa Mwisho kuondoka mikononi mwa Maadui ukiwa mkoa wa Neynawa nchini Iraq ambapo kwa sasa mkoa huo wote uko chini ya Mujahidina wa ISIS.





Upande mwingine usiku wa kuamkia jana mji wa Baghdadi ulishuhudia milipuko mikubwa uliotikisa mji huo mzima ambapo ndio mji mkuu wa Iraq.




Takriban watu 25 wameuawa kutokana na milipuko huo uliofanyika kwenye maeneo ya Bonde ya Albaab kusini mwa mji wa Baghdad ambapo sehemu iliyofanyika mlipuko ulikuwa sehemu waliokuwa wakisajiliwa Wapiganaji wa Kishia waliokuwa na lengo la kwenda kupigana na Mujahidina.



Related Items

Update cookies preferences