Wanajeshi 70 wa Utawala wa Iraq wauawa,na Vikosi vya IS waendelea kupanua wigo.

Monday May 11, 2015 - 23:57:16
18856
Super Admin
Nchini Iraq baado makabiliano kati ya Wanamgambo wa Kishia wa Utawala wa Baghdaad inayopata uungwaji mkono kutoka Iran na Mujahidina yanaendelea nchini humo.


Mapigano makali yamefanyika upya katika Jimbo la Al Anbaar Magharibi mwa Iraq yamesababisha hasara kubwa kwa Maadui huko Mujahidina wakiendelea kujipanua zaidi Ardhi kubwa.


Kwa uchache Maaskari 70 wa kile kinachoitwa Jeshi la Iraq na Wanamgambo wa Hash-du Sha'bi wameuawa huko mamia wakijeruhiwa vibaya baada ya mapigano yaliosemekana kuwa ya Kimalhama kufanyika nje ya mji wa Falluujah.


Habari kutoka mkoa wa Al Anbaar zinaeleza kuwa Mujahidina wameuteka vituo kadhaa vya Maadui yaliokuwa Bonde la Al-hayakiil,hasara kubwa yalipatikana baada ya Magari ya Kijeshi yaliokuwa yamejazwa vilipuzi ambapo walikuwa wakiendesha waliojitolea kufanya Muhanga A'miliya Istish-haadiya kusababisha milipuko mikubwa.


Afisa wa Utawala wa Baghdaad aliyezungumza na vyombo vya Habari amesema kuwa Wapiganaji wa Dola ya Kiislaam wamejipanua maeneo mengine mapya na kuyazingira vituo kadhaa yalioko nje ya mji wa Al Falluujah.


Vikosi vya Dola ya Kiislaam wamekabiliana vilivyo na Wanamgambo wanaojulikana "Hashdi" yalioundwa na Jamhuri ya Kishia ya Iran katika Ardhi ya Iraq tangu mwanzoni mwezi Jun,2014.


Muraad Jama

SomaliMemo,Dubai

Related Items

Update cookies preferences