PICHA:Ramani ya uwezo wa Iraq na ISIS yazidi kukomboa maeneo mengi zaidi.

Monday June 23, 2014 - 21:09:02
12428
Super Admin
Ramani iliyotolewa na Al Jazeera ikionyesha maeneo makubwa wanayoshikilia ISIS Iraq.
Ramani iliyotolewa na Al Jazeera ikionyesha maeneo makubwa wanayoshikilia ISIS Iraq.
Habari kutoka nchini Iraq zinaeleza kuwa Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam baado wanaendelea kufanikiwa kwenye harakati yao ya kijeshi ya kuikomboa nchi yote ya Iraq kutoka mikononi mwa Mashia.





Baada ya Mapigano yaliodumu masaa kadhaa Mujahidina wa ISIS walifanikiwa kuukomboa mji wa Rudba iliyo karibu na Mpaka wa Kizushi kati ya Syria na Urdun.





Walioshuhudia wanasema Mujahidina wa ISIS na Wapiganaji wa Kisunni wameudhibiti kituo cha Daryabeel inayoendehswa kwenye mipaka ya nchi hizo mbili ya Syria na Urdun.





Waziri wa Usalama nchini Urdun amewaambia vyombo vya habari kuwa Vikosi vya Nuri Al Maliki wameikimbia Kituo cha Mpakani na Mujahidina wa Dola ya Kislaam tayari wameidhibiti kituo hicho.





Hata hivyo Mujahidina wa Dola ya Kislaam wameuhakikisha udhibiti wa Mkoa woote wa Neynawaa iliyo kaskazini mwa Iraq ambayo makao makuu yake ni mji wa Muusil.






Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Tala'far ambapo Wanajeshi maadui wameukimbia nalo kuna Ndege za Kijeshi na Silaha wa kila aina.






Picha ya Ramani iliyotangazwa na televisheni ya kiarabu ya Al Jazeera inaonyesha maeneo mengi ya mkoa wa Al Anbaar kuwa imeingia mikononi mwa Vikosi vya Mujahidina wa ISIS.





Kwenye Rangi za Njano utakazoziona ndani ya Ramani ni maeneo yalio mikononi mwa ISIS,Rangi za Nyekundu ni maeneo yanayoendelea mapigano ambapo haiko upande wowote imma wa Maadui au kwa Mujahidina,na Rangi za Nyeusi ni maeneo machache yanayoshikiliwa na Makundi ya wakurdi.






Related Items

Update cookies preferences