Taliban waukomboa miji mitatu kutoka mikononi mwa Wanajeshi wa Marekani na yale ya Hamid Karzai (Maelezo).

Wednesday June 25, 2014 - 23:01:56
Super Admin
Habari kutoka Kusini mwa Ardhi ya Afghanistaan zinaeleza kuwa Mapigano yaliodumu siku tatu mfululizo hatimae Mujahidina wa Taliban wamefanikiwa kwa Uwezo wa Allah kuuchukua Ardhi kubwa nchini humo.




Mamia ya vikosi vya Mujahidina wa Taliban walifanya shambulio kubwa kwenye vituo vya Wanajeshi wavamizi na Wanamgambo wa ki Afghanistaan katika mkoa wa Helmand nchini Afghanistaan.





Taarifa rasmi iliyotolewa na Imaratul Islamiah ya Afghanistaan ilidokeza mafanikio makubwa iliyofikiwa kwenye opresheni maalum ya msimu wa Barafu iliyopewa jina la Kheybar kwenye upande wa kuikomboa miji.





Mwanzo kabisa katika taarifa hiyo ilieleza kuwa Mujahidina walifanya mashambulio makubwa dhidi ya Maadui waliokuwepo miji 6 mkoani Helmand na kufanikiwa kuukomboa miji mitatu muhimu.





Kwenye miji hizo muhimu ambazo Mujahidina wameukomboa kutoka mikononi mwa Wanajeshi wa Marekani na Wanamgambo wa Hamid Karzai ni pamoja na Senjiin,Sarwaan,na Muusakala.





Wanajeshi wa Marekani wapatao 21 wameuawa kwenye mapigano makali yaliofanyika mji wa Sanjiin na Mujahidina kufanikiwa kuteketeza magari 6 za kivita ya Wanajeshi wa NATO.





Taarifa hiyo iliyotolewa na Mujahidina wa Taliban ilifafanua vizuri mapigano yaliodumu siku tatu mfululizo na kuangamia kwa Wanajeshi Wavamizi wa NATO pamoja na Wanamgambo wanaofanyakazi chini ya Umoja huo wa Shari nchini Afghanistaan.





Waandishi wa habari waliopo nchini Afghanistaan wanaeleza kuwa makali ya mapigano hayo yalisikika hadi katika mipaka ya kizushi kati ya nchi hizi mbili ya Afghanistaan na Pakistaan ambayo ni Ardhi kubwa iliyo wazi na hapo hapo Mujahidina kuweza kupishana.

Related Items

Update cookies preferences