Makumi ya watu wauawa kwenye shambulio la Ndege katika mji wa Raqqa-Syria.

Wednesday June 25, 2014 - 23:05:39
Super Admin
Habari kutoka nchini Syria zinaeleza kuwa Ndege za Wanajeshi wa Kinuseyria wa Bashar Al Asad wamefanya mashambulio makubwa kwenye mitaa ya mji wa Raqqa nchini Syria.






Takriban watu 30 wameuawa  na dazeni ya watu wengine wamejeruhiwa kwenye shambulio hilo la Ndege,Viongozi wa Wilayatul islamiah ya Raqqa wamesema Ndege hizo zilishambulia Soko kubwa kwenye mji wa Raqqa.






Mamia ya Wananchi wa Kislaam waliokuwa wakifanya manunuzi yao kwenye Soko kubwa iliyo na mkusanyiko wa watu wengi ya mji wa Raqqa ndio imeathiri shambulio hilo,miili ya Watu ilikuwa imezagaa barabarani Picha kadhaa zilizosambazwa katika mitandao za Kijamii iliyonyesha Mauaji mabaya yaliofanywa dhidi ya Wananchi wa Kislaam.





Majengo kwenye mji huo umeharibiwa vibaya kutokana na shambulio iliyokuwa imefanyika zaidi ya masaa mawili mfululizo kama ilivyokaririwa na Wilayatul Islamiah ya Raqqa.






Katika siku 10 zilizopita Ndege za Kivita za Wanajeshi wa Kinuseyria wa Bashar Al Asad ilikuwa ikishambulia mikoa ya Halab,Deyrazuur,Dar'a na Dimishq na hivyo kusababisha vifo vya mamia ya Wananchi wa Kislaam.

Related Items

Update cookies preferences