UFAFANUZI:Maofisa wakuu wa Jeshi la Djibuti wauawa kwenye opresheni iliyofanyika mji wa Buula Barde.

Thursday June 26, 2014 - 15:40:11
Super Admin
Mji wa Buula Barde.
Mji wa Buula Barde.
Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na shambulio kubwa iliyofanywa na Vikosi maalum wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kwenye mji wa Buula Barde katika Kambi kuu ya Wanajeshi wa AMISOM khususan yale ya kutoka Djibuti.




Kunaarifiwa Makumi ya Wanajeshi na maofisa wa Djibuti wameuawa kwenye mlipuko mkubwa uliofanyika ndani ya Hotel Aamalow ambapo kulifuatia ufyatuaji risasi iliyofanywa na Vikosi maalum vilioingia ndani ya hoteli hiyo dhidi ya Wanajeshi wa AMISOM.





Mashuhuda wanasema walisikia kishindo kikubwa cha Mlipuko wa bomu na kisha ukafuatia ufytulianaji wa risasi iliyosikika ndani ya mji wa Buula Barde,habari za awali zinaarifu kuwa Maofisa 6 wameuawa ambapo walikuwa wakiongoza Wanajeshi kutoka Djibuti na Wanamgambo wengi wa Kisomali.







Kwenye Jengo hilo la Aamalow Hotel ulidhibitiwa na Vikosi hivyo maalum vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.







Kwenye vitongoji vilio chini ya mji wa Buula barde unasikika milio ya risasi na milipuko yanayoendelea hivi sasa katika mji wa Buula Barde.





Liban Jehow Abdi



SomaliMemo,Mugadishu



Related Items

Update cookies preferences