Vikosi vya ISIS wawaua mamia ya Wanajeshi nje ya mji wa Tikrit.

Saturday June 28, 2014 - 23:42:11
Super Admin
Vikosi vya ISIS wanaozidi kusambaa nchi ya Iraq.
Vikosi vya ISIS wanaozidi kusambaa nchi ya Iraq.
Utawala wa Nuri Al Maliki nchini Iraq imetangaza opresheni unaolenga kuirudisha Mji wa Kistratijia uliochukuliwa siku za hivi karibuni.





Maelfu ya Wanajeshi wa Utawala wa Baghdaad unaosindikizwa na Wapiganaji kadhaa wa Kishia waliojiandikisha kuisaidia Serikali ya Kishia ya Nuri Al Maliki waliondoka kutoka mji wa Samaraa na walijaribu kuingia barabara unaoelekea mji wa Tikrit.






Vyanzo muhimu vya kuaminika unaeleza kuwa baada ya mapigano yaliodumu masaa kadhaa Vikosi vya Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam (ISIS) walifanikiwa kujilinda dhidi ya shambulio hiyo kutoka kwa Maadui.






Maofisa wa Mujahidina wa Dola ya Kislaam wamesema wamefanikiwa kuyateketeza na kuyakanyaga Misafara wa Magari ya Kivita yaliojaribu kuingia mji wa Tikrit ambao unashikiliwa na Waislaam wa Kisunni.




Mtandao unaowauga mkono Wapiganaji wa Kisunni umearifu kuwa Magari ya kivita 8 yameteketezwa na pia kuzingirwa Wanajeshi kadhaa wa Iraq na unatarajiwa Wanajeshi hao kujisalimisha upande wa Mujahidina.






Ni Jaribio la kwanza kwa Utawala wa Nuri Al Maliki kutaka kurudisha miji uliochukuliwa na Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam ISIS mwanzoni mwa mwezi June 2014.






Related Items

Update cookies preferences