Mlipuko uliosababisha hasara yafanyika Wilaya ya Karaan mjini Mugadishu.

Tuesday July 01, 2014 - 08:10:37
Super Admin
Siku ya pili mfululizo Maaskari wa Serikali ya TFG wamelengwa shambulio iliyosababisha hasara katika mji wa Mugadishu.






Mlipuko uliofanyika jana katika soko la Wilaya ya Karaan ililengwa eneo la ofisi ya ukusanyaji ushuru wa Serikali ya TFG na kusababisha hasara kwa Maaskari waliokuwepo.





Walioshuhudia wanasema kwa uchache Askari mmoja amejeruhiwa kutokana na mlipuko huo ambao ulikuwa umetegewa eneo hilo.





Baada ya muda mfupi Maaskari wa Serikali ya TFG walifika katika eneo la tukio na kuanza msako,ilikuwa juzi tu wakati watu waliokuwa wamejihami na silaha walipompiga risasi Maaskari wawili wa Serikali ya TFG kwenye barabara ya Makka Al Mukarama mjini Mugadishu,Maofisa waliozungumza kwa niaba ya Harakat Al Shabab Al Mujahideen wametishia kuendeleza mashambulizi dhidi ya AMISOM na Washirika wake waliopo mjini Mugadishu.





Liban Jehow Abdi



SomaliMemo,Mugadishu









Related Items

Update cookies preferences