Mujahidina wa Al-Shabab watungua Ndege ya Kijeshi iliyokuwa imebeba Shehena kwa Wanajeshi wa Ethiopia.

Tuesday July 01, 2014 - 08:19:52
Super Admin
Sheikh Abdul Aziz Abuu Mus'ab Msemaji wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ametangaza kuwa Vikosi vya Mujahidina wameangusha Ndege ya Kijeshi.





Abuu Mus'ab ambae amezungumza na Waandishi wa Habari na kuthibitisha kuwa nje ya mji wa Elbuur Mkoani Galgaduud kuwa waliangusha Ndege ya Kijeshi iliyobeba mzigo kwa Wanajeshi wa Ethiopia waliopo Galgaduud na Hiraan.





Amesema Vikosi vya Mujahidina waliokuwa wameizingira Mji wa Elbuur wameitungua Ndege hiyo baada ya kurushia silaha nzito na baadae kuangukia maeneo yaliopo mkoa wa Galgaduud.




Related Items

Update cookies preferences