Mashambulizi mengine dhidi ya Wanajeshi wa Serikali yafanyika mji wa Mugadishu.

Wednesday July 02, 2014 - 08:30:53
6504
Super Admin
Ndani ya masaa 48 yaliopita yamefanyika mashambulio tofauti tofauti kwenye baadhi ya mitaa mbalimbali mjini Mugadishu ambapo walilengwa Wanamgambo wa Serikali ya FG inayoongozwa na Hassan Sheikh.





Usiku wa kuamkia tarehe 1,July,2014 kulisikika milipuko kadhaa kwenye kambi ya Guulwadayaasha ambapo ni kituo cha Wanajeshi wa Serikali ya FG,pia kulifanyika shambulio lingne la Silaha karibu na eneo la Warshada Biyaha Aafi mjini Mugadishu.






Shambulio nyingine iliyofanyika mtaa wa Shibis ameuawa Afisa mmoja wa Wizara ya Uchukuzi wa Serikali ya FG,Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imeyafanya kweli Onyo yake iliyokuwa kuzidisha mashambulio yake ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhaan.

Related Items

Update cookies preferences