Mujahidina wa Al-Shabab waingia kwa vita mji wa Qoryoley Mkoani L/Shabelle.

Wednesday July 02, 2014 - 08:32:57
9934
Super Admin
Habari kutoka Mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumeibuka makabiliano makali ndani ya masaa machache yaliopita katika mji wa Qoryoley.




Mapigano yalikuja baada ya Vikosi vya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kufanya mashambulio ya pembe 3 dhidi ya Makambi ya Wanajeshi wa AMISOM.






Milio ya Silaha nzito na Risasi za Rashasha zilisikika kwenye mji wa Qoryooley,wakaazi wa Mji huo wanasema mapigano hayo yalikuwa makubw kuwahi kutokea tangu wanajeshi wa Kigeni walipoingia Mji huo March mwaka huu.





Habai zaidi zinaeleza kuwa Vikosi vya Harakat Al-Shabab walikabiliana vilivyo na Wanajeshi hao wa AMISOM khususan Wanajeshi wa Uganda,maeneo yalioathiriwa na makabilino hayo yalikuwa maeneo ya Hospitali ya Wilaya na Soko la Mifugo.





Vyanzo vya kuaminika viliarifu kuwa Magari za Kivita waliokuwanazo Mujahidina wa Al-Shabab zilishirika vyema kwenye Mapigano hayo.






Liban Jehow Abdi



SomaliMemo,Mugadishu



Related Items

Update cookies preferences