Ndege nyingine ya Kivita yaathiriwa katika mji wa Elbuur.

Wednesday July 02, 2014 - 08:35:48
8181
Super Admin
Mmoja ya Ndege za Kijeshi zinazopeleka shehena kwa Wanajeshi wa Ethiopia waliozingirwa katika mji wa Elbuur imeathiriwa baada ya kushambuliwa na Vikosi vya anga wa Mujahidina wa Al-Shabab.




Habari kutoka Mkoa wa Galgaduud zinaeleza kuwa Vikosi vya Anga vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ilishambulia kwa Makombora ya Ndege iliyokuwa ikiruka kwenye uwanja wa Ndege wa Elbuur.





Vyanzo vya kuaminika vinaeleza kuwa Ndege hiyo iliathiriwa pakubwa kutokana na shambulio hilo na kulazimika kurudi katika Uwanja huo wa Ndege wa Elbuur.






Mpaka sasa haijajulikana rasmi hasara iliyosababishwa na shambulio hilo lakini maofisa wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen waliozungumza na vyombo vya habari wamesema wanatarajia ndege hiyo kujeruhiwa.





Wiki iliyopita Ulinzi wa Anga wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walitungua Ndege ya Kijeshi uliokuwa na Shehena kwa Wanajeshi wa Ethiopia waliozingirwa kwenye mji wa Elbuur.




Liban Jehow Abdi



SomaliMemo,Mugadishu




Related Items

Update cookies preferences