Maaskari wa Serikali ya FG wauawa mchana kweupe kwenye Wilaya ya Hamarjajab Mjini Mugadishu.

Sunday July 06, 2014 - 22:49:09
8173
Super Admin
Mauaji dhidi ya Maofisa, Wafanyakazi,na Maaskari wa Serikali ya FG bado yameendelea katika mji mkuu wa Somalia Mugadishu.




Watu waliokuwa wamejihami na Silaha jana walimwua maaskari wawili katika mtaa wa Afisyoni Wilayani Hamar Jajab mjini Mugadishu.





Kamanda wa Polisi mjini Mugadishu Ali Gaab alisita kutoa ufafanuzi kuhusiana na mauaji hayo ya mwisho wa Maaskari waliouawa jana.





Tangu kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhaani Mashambulio yamekuwa ya mfululizo katika mji mkuu wa Somalia Mugadishu ambapo Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamedai kuhusika.




Kauli ya kiongozi kibaraka wa Serikali ya FG Hassan Sheikh yamekuwa ya Uwongo ambapo alidai kuudhibiti Mashambulio kutoka kwa Al-Shabab kipindi cha Mwezi mtukufu wa Ramadhaani mjini Mugadishu.





Liban Jehew Abdi



SomaliMemo,Mugadishu



Related Items

Update cookies preferences