TIZAMA PICHA:Magari zilizobeba Shehena za NATO wateketezwa kwa Moto katika Mipaka ya Afghanistaan na Pakistan.

Wednesday June 25, 2014 - 09:24:46
14469
Super Admin
Askari wa NATO akiwa kando na Gari inayoteketea.
Askari wa NATO akiwa kando na Gari inayoteketea.
Vikosi vya Mujahidina wa Taliban wamefanya shambulio la kuvizia dhidi ya msafara wa Magari zilizobeba Shehena za Silaha na vyakula pamoja na vifaa vya Kijeshi kwa Wanajeshi wa NATO waliopo nchini Afghanistaan.




Msafara huo wa Magari waliokuwa wakitoka nchini Afghanistaan wameshambulio katika njia iliyo karibu na mpaka wa Afghanistaan na Pakistan,ambapo Msafara wote wa Magari hayo yaliteketezwa kwa Moto.





Utawala wa Pakistaan uliozungumzia mkasa huo imesema Wanajeshi wa NATO wamepata hasara kubwa iliyosababishwa na shambulio dhidi ya Msafara huo wa Magari yaliobeba Shehena za Kijeshi.










Related Items

Update cookies preferences