Mapigano yalioteketeza magari za Wanajeshi wa Kenya yafanyika katika mji wa El-waq.

Wednesday June 25, 2014 - 23:09:14
Super Admin
Habari kutoka Mkoa wa Gedo iliyo kusini magharibi mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa Mujahidina walifanya shambulio lililopangwa vyema dhidi ya Msafara wa Magari ya Wanajeshi wa Kenya.




Vyanzo muhumu iliarifu kuwa Shambulio iliyokuwa ya kuvizia na baadae kuwa Mapigano ya ana kwa ana yalifanyika katikati mwa Mji wa El-waq na Busaar.






Habari zaidi zinaeleza kuwa Gari ya kubeba Wanajeshi waliokuwa nayo Wanajeshi wa Kenya iliteketezwa kwa moto,vyanzo vya kuaminika iliarifu kuwa kati ya wanajeshi wa Kenya waliouawa mmoja alikuwa Afisa mwenye cheo cha juu jeshini.






Vikosi vya Mujahidina wanaopigana katika mkoa wa Gedo na Lower Jubba wameogeza harakati yao dhidi ya Wavamizi waliovamia Ardhi ya Somalia khususan Wanajeshi wa Kenya.

Related Items

Update cookies preferences