Dola ya Kislaam waukomboa Mji wa Deyrazuur na Kisima kikubwa nchini Syria.

Friday July 04, 2014 - 16:23:34
8674
Super Admin
Kunaripotiwa mabadiliko makubwa kwenye makabiliano ya kuutwaa utawala nchini Syria ambapo nchi hiyo kwa muda wa miaka 3 umekuwa kwenye mapigano makubwa.




Habari kutoka Deyrazuur kaksakzini mwa Syria zinaeleza kuwa vikosi vya Dola ya Kislaa imeanza kupanua uwezo wake hadi kwenye mikoa ya kaskazini na Katikati mwa nchi hiyo.





Miji yote na iliyo chini ya Mkoa wa Deyrazuur umeingia mikononi mwa Mujahidina wa Dola ya Kislaam isipokuwa makao makuu ya Deyrazuur.





Miji ya Al Mayadiin,Al Bokamaal,Shahiil na Al U'shaara zote hizo imeingia mikononi mwa Vikosi vya Dola ya Kislaam pamoja na Kisima kikubwa cha Al Umar pia umedhibitiwa na Mujahidina wa Dola ya Kislaam.






Waandishi wa habari waliopo nchini Syria wanasema Makundi ya Wapiganaji waliowahi kupigana na Dola ya Kislaam waliokuweko kwenye Maeneo hayo wametangaza kuingia Bey'ah na Amiri wa Dola ya Kislaam Abuu Bakar Al Baghdaadi na kujizuia kupigana na Dola ya Kislaam.





Ardhi kubwa iliyoingia mikononi mwa Islamic State ni sawa kwa ukubwa wa masafa inayo zidi mara 5 katika nchi ya Jamhuri ya Lubnaan,na hii inamaanisha uwezo mkubwa ulio nayo katika nchi za Iraq na Syria Dola ya Kislaam inayoongozwa na Abuu Bakar Al Baghdaadi.

Related Items

Update cookies preferences