Kiasi cha Dola za Kimarekni $ 20,000 na Magari 4 ya vyakula wagawiwa Familia wasiojiweza katika Wilaya ya Bakool.

Monday July 07, 2014 - 23:57:30
8273
Super Admin
Tume ya uokozi wa Utawala wa Kislaam wa Bay na Bakool umekabidhi Misaada mbalimbali kwa Waali wa Wilayatul Islamiah ya Lower Shabelle Sheikh Mohamed Abuu Abdallah.




Sheikh Abdullahi Garweyne ambae ni mkuu wa Tume ya uokozi na Msaada kwa Wananchi waliofanyiwa madhila na Wanajeshi wa Ethiopia kwenye Vijiji viliopo Mkoani Bakool amesema kiasi cha Dola za Kimarekani $20,000 na Magari Manne ya Vyakula amekabidhiwa Sheikh Mohamed Abuu Abdallah Waali wa Wilaytul Islamiah wa Lower Shabelle na msaada huo umetoka kwa Wananchi wenyewe walioko Mkoani Lower Shabelle.





Msaada huu wanayopeana Wananchi wa Kislaam wa Somalia ni mfano tosha kuwa Mashirika ya Kimishinari yaliokuwa na malengo ya kuwaritadisha Waislaam hawahitajiki tena ndani ya jamii ya Waislaam ambao ulikuwa ukigawa Mahindi na nafaka yaliokwisha muda wake wa kutumia.




Mahad Yare 


SomaliMemo,Mugadishu

Related Items

Update cookies preferences