Mapambano ya Ikulu yapamba moto na Mujahidina waudhibiti baadhi ya Majengo

Tuesday July 08, 2014 - 23:40:03
7052
Super Admin
Mapigano yalioanza jioni ya leo nyakati za swala ya Al Maghribi imendelea kupamba moto ambapo yalianzia Barabara zinazoingia Ikulu ya Rais wa Serikali ya FG na baadae mapigano hayo yalisambaa hadi ndani ya Ikulu hiyo.




Baado milio ya risasi zinasikika na inaaminika Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab walioanza mashambulio hizo wanafanya opresheni ndani ya vyumba wanakolala Viongozi wa Serikali ya FG.




Vyanzo vya kuaminika vinadokeza kuwa mapigano hayo yamesambaa hadi kwenye nyumba za Mabalozi wa Ethiopia na Djibuti ambazo ziko karibu na Ikulu ya Rais mjini Mugadishu.





Hali baado ni ya wasiwasi na Wanajeshi wa AMISOM wakiwa na Vifaru na Magari za Kivita wanaoenekana eneo la Mapigano hali inayonyesha kuwa mapigano ya usiku huu ni makali zaidi.




Habari zaidi zinaeleza Vikosi vya Al-Shabab wameudhibiti Beria mbili zilizopo eneo la kuingilia Ikulu ya Rais baada ya kuwaua Maaskari waliokuwa kwenye Beria hizo.





Mahad Yare 


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items

Update cookies preferences