Makabiliano makali yameanza kwenye Jumba la Waziri Mkuu na Taa za Villa Somalia yazimwa.

Tuesday July 08, 2014 - 23:41:50
8208
Super Admin
Mapigano yalioanza usiku huu umeendelea kusambaa maeneo zaidi katika majengo ya Ikulu ya Rais inayojulikana Villa Somalia.




Milio ya Risasi na milipuko yanasikika hivi sasa ndani ya Majengo hayo ya Villa Somalia khususan Jumba la Waziri mkuu wa Serikali ya FG.




Mmoja wa Wafanyakazi wa Ikulu ameliambia SomaliMemo kuwa taa zote za Ikulu zimezimwa kabisa na baado mapigano yanaendelea ndani na nje ya Ikulu ya Villa Somalia.




Mapiagano yamendelea kushika kasi na inaonekana Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab wanaendelea kutambaa maeneo yote ya Majengo ya Ikulu ya Villa Somalia.




Mahad Yare


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items

Update cookies preferences