Vikosi vya Mujahidina wa Dola ya Kislaam wauchukua mji muhimu wa Samaraa nchini Iraq.

Thursday June 12, 2014 - 00:53:40
12103
Super Admin
Baada ya mapigano makali iliyoanza usiku wa manane katika Mkoa wa Salahudini nchini Iraq Mujahidina wa Dola ya Kislaam wamefanikiwa kuudhibiti Mji wa Samaraa.
Baada ya mapigano makali iliyoanza usiku wa manane katika Mkoa wa Salahudini nchini Iraq Mujahidina wa Dola ya Kislaam wamefanikiwa kuudhibiti Mji wa Samaraa.

 

Habari kutoka nchini Iraq zinaeleza kuwa bado Mapigano yanaendelea kwenye mji muhimu,Mwandishi Hamiid Hadiid wa Televisheni ya kiarabu ya Al Jazeera anasema sehemu nyingi ya mji huo umeingia mikononi mwa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam ISIS.

 

Kwenye Majengo muhimu ya mji huo Makao ya Mji wa Samaraa na Kituo kikuu cha Polisi pamoja na kitovu cha Biashara yameingi mikono ya Mujahidina wa Dola ya Kislaam.

 
Mji huu ambao wakaazi wake walio wengi ni Waislaam wa Kisunni kwa muda wa miaka kadhaa ulikuwa ukishikiliwa na Utawala wa Kishia wa Nuri Al Maliki.

 

Al Samaraa iliyo na historia inayong'ara ni mji aliyozaliwa Sheikh Abuu Bakar Al Baghdadi amiri wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam "Islamic State of Iraq and Shaam-ISIS"

Related Items

Update cookies preferences