![](https://somalimemo24.info/uploads/article/photo/thumbs/IMG_6FA929-8AB589-817E49-EAE2AC-D7E40A-D0BD81.jpg)
Mashambulio mengine mapya katika Kisiwa cha Lamu nchini Kenya na Milipuko yaliofanyika mji wa Wajear.
Nchini Kenya mashambulio yanayolenga Wanajeshi na Maofisa wa Usalama pamoja na Raia wa Kenya waliowatuma vijana wao kuja nchini Somalia bado yamendelea.