Afisa mmoja mwenye cheo cha juu wa Serikali ya FG auawa mjini Mugadishu na mlipuko uliofanyika Wilaya ya Hodhan.
Watu waliojihami na Silaha wamemwua kwa kumpiga risasi Afisa mwenye cheo cha juu kwenye jeshi la Polisi la Serikali Shirikisho la Somalia FG katika Wilaya ya Wadajir mjini Mugadishu.